Diamond Platnumz

Sikomi
Wanasemaga mapenzi safari Unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea Niliposikiaga Habari Yakisifika nikakesha nangojea Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea Ile pruuu mpaka Macca Nikadandiaga Bongo movie Kumbe mapenzi hayataki haraka Ni kama tango natia tu chumyi Mwenzenu nikaoza haswa Na kujitia kitandani mjuzi Eti nataka fukuza paka Badala ya mbwa nikafuga mbuzi Hhhmmm Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki Moyo ukanambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi Ila nang'ang'ania Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine Ooh mbona sikomi Sikomiii SongtexteSikomi Licha ya mateso haya Najiuliza (oh sikomiii) Oh sikomi mbona (Sikomiii) Mbona jamani Sikomi Licha ya mateso haya Hhhhmmm Aliyonifanyia wa central Haki ya mungu siyawezi sema Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema Moyo walinipatia mateso Siwezi kumeza siwezi tema Ndio maana sikushanga ile ghafla Toka CCM kwenda CHADEMA Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie Nikajitia ukamanda yatakwisha Wacha nivumilie Kila kiza kikitanda Ndo visa machozi me nilie Penzi yakatia parapanda Kuwaita waje washambulie Aah Acha na penny we darling Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii Mola akanitunuku Zari Akanzalia dume na mwali Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka Kwa vyombo vya habari Moyo unanambia Nasibu sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Lizer ananiambia simba mapenzi basi Ila nang'ang'ania Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine Ooh mbona sikomi (mboooona) Sikomiii (mbona jamani) Sikomi Licha ya mateso haya Eh Nishafumania (oh sikomiii) Nikafumaniwa mimi (Sikomi) Nishagombana na watu (Sikomiii) Aus Songtexte Mania