Diamond Platnumz

Kosa Langu
Ah! Barua yako uliyotuma kwa Ricardo Momo nimeisoma Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma Eeh! Nliyo yategemea Tofauti na nlicho kiona Hata naandika hii barua Huku roho yangu inansonona Umesema nichane nguo Pia funguo umeirudisha sawa Simu niziweke kituo na sio chaguo Nikome kabisa sawa Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia Niichane sawa Ila kinachoniumiza Mbona moja umesahau Kosa Langu Kosa Langu Hujaniambia Na kuniacha peke yangu Ukanikimbia Ila mbona kosa langu Hujaniambia Nami nikabiki peke yangu Ukanikimbia SongtexteAah! Mbona ukanichimbia kaburi Ningari bado mzima Niife nizikwe vizuri Nipotee kabisa kimya Licha ya matendo mazuri Kwa upendo na heshima Moto ukachochea tanuri Ukachoma wangu mtimaa Natamani hata ningepata nafasi Muda wakati Kukutazama Unione hata japo sura Unitazame macho yangu Mwenzako wimbi limenipiga kasi Langu jahazi limezama Mnyonge mwana Sanura Wee ndio ulikuwa furaha yangu Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina Sawa na gari lisio na gear La kuiforce ipande mlima Ndio maana siishi kulalama Japo jibu moja tuu Linaloniumiza Mwenzio bado sijaelewa Kosa Langu Kosa Langu (Kosa Langu) Hujaniambia (Hujaniambia) Na kuniacha peke yangu (Peke yangu) Ukanikimbia (Ukaenda) Ila mbona Kosa Langu (Kosa Langu) Hujaniambia (Hujaniambia Bado) Nami nikabi peke yangu (Peke yangu) Ukanikimbia (Ukaenda Ooh!) Oh moyo! Moyo wangu umevunjika una magongo Oh moyo! Kila sehemu nayoshika kinyamazongo Oh moyo! Hata chozi likifutika linabaki tongo Oh moyo! Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo Oh moyo! Moyo wangu umevunjika Unaa jamani Oh moyo! Hhhhmm hmm Aus Songtexte Mania