Khadja Nin

Mzee Mandela
ndani yangu ni raha na sorrow nikiwaziya baba myaka ishirini na saba ya sorrow kwa bahati mutu wa haki hana boga, ju ana kweli mbele ya silaha ukashimamiya uhuru Nelson Mandela mzee madiba baba yetu Nelson Mandela mzee madiba baba yetu damu ya wana wa South Africa hayikumwangika bure ata kama makumbuko yako ana sorrow Songtextepole pole baba watu wanajifunza ku kaa pamoja Nelson Mandela mzee madiba baba yetu Nelson ,Nelson Mandela mzee madiba baba yetu... Aus Songtexte Mania